Coaches Across Continents
Nombre: | Coaches Across Continents |
---|---|
Ciudad: | Watertown |
País: | United States of America |
Deporte: | Fútbol |
© Copyright 2022 Sport Session Planner Ltd.
Desarrollado con Partnership Developers, una división de Kyosei Systems.
Por favor, escoge de las siguientes opciones cómo te gustaría que presentara tu sesión.
Controles de la Animación (PCs, Macs, Portátiles):
Reproducir animación
Reproducir paso a paso
Activar/Desactivar Repetición
Pantalla Completa
Pausa
Detener
Atrás/Adelante: Deslizar el botón de línea de tiempo
#4 Chagua Usafiri Bora (30 mins)
Mchezo wa Kukusudia
Panga viduta vya pia kati ya 6-8 huku wachezaji kati ya 2-4 wakisimama nyuma ya kila kiduta
Pita kutoka laini moja/foleni moja na tena usimame nyuma ya foleni nyingine
Kila kocha aanze kwa sehemu moja ambayo mchezaji “anatembea “ taratibu katika jamii.
Awamu inayofuata kocha aite sehemu nyingine tofauti katika jamii na mara hii wachezaji waamue ni mbinu gani watatumia kusafiri hadi nyuma ya mistari inayofuata.
Wachezaji wanatakiwa kubaini njia tofauti za usafiri wanapopitisha mpira
Maswali ya kukusudia wanapoendelea na mchezo. uliza maswali na utegee majibu.
Waulize maswali wachezaji kuhusu aina ya usafiri walioutumia?
Je, mbinu au aina zote za usafiri huwa na gharama sawa kwa mazingira?
Je, unajua kiwango cha kaboni mnachozalisha? Hiki hutokana na shughuli za Maisha mnazofanya ambazo huzalisha kaboni.
Mchezo wa kukusudia – Tumia ubunifu wako au pia mapendekezo tuliyoyatoa ili kuwe na njia mpya ya kuucheza.
Cheza tena na sasa kocha anapotaja aina ya usafiri wachezaji wanaweza kuamua kusonga kwa kasi au pole pole kulingana na mbinu iliyotajwa.
Wachezaji waende kwa kasi mno kunapotajwa mbinu inayozalisha Zaidi kaboni
Wacheazaji waende taratibu iwapo pametajwa mbinu isiyozalisha kaboni nyingi kwa usafiri
Sasa badala ya kocha kila mchezaji anayepitisha mpira aitaje mbinu moja kwa mchezaji atakayepokea mpira kutoka kwake
Maswali ya kukusudia baada ya mchezo. Uliza maswali na utegee majibu.
Tunawezaje linganisha hili na mazingira? Ni mbinu zipi za usafiri zinazalisha kiwango kikubwa cha kaboni?
Na je? Huwa unaonekana mdhaifu kwa mchezo wakati unatembea, kuendesha baiskeli (kaboni ndogo) au wakati unaendesha motokaa au hata kutumia ndege (kaboni kubwa)?