Coaches Across Continents
| Name: | Coaches Across Continents |
|---|---|
| City: | Watertown |
| Country: | United States of America |
| Membership: | Adult Member |
| Sport: | Football/Soccer |
© Copyright 2022 Sport Session Planner Ltd.
Developed with Partnership Developers, a division of Kyosei Systems.
Animation Controls (PCs, Macs, Laptops):
Play animation
Play step-by-step
Repeat (toggle)
Full Screen
Pause
Stop
Back/Forward: Drag timeline button
#2 Ni bora kutembea, kuendesha baiskeli au kutumia magari ya umma tunaposafiri
Mchezo wa Kukusudia
Wacheze kwa nafasi nane-mita Kumi Kwa Kumi wakiwa na mipira mingi iwezekanavyo. Ikiwa haitoshi wasiokuwa na mipira wasubiri huku wakisoma mchezo na wapokezwe kwa hatamu inayofuata.
Wasambaze viduta vya pia uwanjani ili kuwakilisha vyombo vinavyoleta msongamano wa magari. Mwalimu / Kocha awe na viduta vyekundu(acha) manjano( ya kugusa kwa kidole Kwa mpira) na kiduta cha pia cha Kijani(enda) waige vifaa hivi Kama vizuizi vya trafiki barabarani Kocha anapochezesha Kwa miguu yake
Hali hii au mchezo huu uendelee kwa dakika moja - Wachezaji wacheze tena lakini wakati huu mchezaji anapokosa uthibiti wa mchezo (mpira Kukiuka uwanja) au (umguse mchezaji au Kiduta cha pia), waondoe mpira halafu watunge msitari nyuma ya wenzio huku Wameweka mikono yao kwa mabega.
Maswali ya Kukusudia wakati wa Kucheza_uliza maswali na utegee majibu
Je unapendelea sana usafiri upi? Au njia ipi ya usafiri?
Wewe sana sana hushuhudia njia ipi ya usafiri Kwenu?
Mchezo wa Kukusudia- Tumia ubunifu wako au mapendekezo yetu ili ubuni njia za Kucheza
Kwa awamu inayofuata tumia majibu kutoka kwa Sehemu ya maswali Kutanguliza njia tofauti za usafiri na matembezi ya wachezaji
Motokaa - Kimbia Kwa Kasi ukiegemea vidole huku ukiregesha mpira
Baiskeli- Songa mchakamchaka ukizunguka mpira ukiwa Umezungushwa na Kisigino
Kutembea - Tembea tu ukisongesha mpira
Cheza Kwa muda huku ukitazama
Jaribu Kubadilisha Kasi na mtindo wa Kuchezesha kwa kulingana na kiwango cha wachezaji.
Maswali ya kukusudia baada ya mchezo- uliza maswali na utegee majibu
Ni njia gani ya usafiri ambayo ni bora kwa mazingira?Katika mchezo unadhani watu wengi kuunga msitari kunawakilisha nini?
Ni faida zipi zitakuja iwapo tutatumia magari machache barabarani?