Coaches Across Continents
Name: | Coaches Across Continents |
---|---|
City: | Watertown |
Country: | United States of America |
Membership: | Adult Member |
Sport: | Football/Soccer |
© Copyright 2022 Sport Session Planner Ltd.
Developed with Partnership Developers, a division of Kyosei Systems.
Animation Controls (PCs, Macs, Laptops):
Play animation
Play step-by-step
Repeat (toggle)
Full Screen
Pause
Stop
Back/Forward: Drag timeline button
#1 Kutunza au kupunguza utumizi wa kawi (30 mins)
Mchezo wa Kukusudia
Panga viduta vya pia pasipo na Kanuni yoyote uwanjani. vingine vikaribiane na vingine mbalimbali
Wachezaji waulizwe Kutaja baadhi ya vifaa vya umeme wanavyovitumia nyumbani.
Viduta vilivyoko uwanjani ni mifano sasa ya vifaa vya umeme tofauti ambavyo Vimewashwa au Kuunga umeme.
Wakitumia mipira miwili au mitatu waweze Kuchunguza muda wanaouchukua kuregesha mpira kati ya viduta vya pia. Mchezaji ni mfano wa kifaa vya Kuhifadhi Kawi, anapopenyeza mpira Kati ya viduta, achukue kimoja halafu akipachike juu ya kingine hii ni ishara ya Kukata umeme au kuuzima.
Waendelee Kucheza mpaka wahakikishe kuwa vifaa vyote vimekatishwa umeme.
Maswali ya kukusudia wakati wanapoendelea kucheza uliza maswali na utegee majibu
Je, ni vifaa vipi vya nyumbani vinavyohitaji kawi?
Ni vitu gani nyumbani vinavyotoa au kuleta hasara ya umeme ?
Je,ni kweli kuwa kuna wakati mmoja huwa tunawasha taa hata ikiwa hatuhitaji mwanga huo na hata pengine huwa tunaiwacha simu kwenye umeme hata baada ya simu yenyewe kujaa umeme?
Mchezo wa kukusudia - Tumia ubunifu wako au pendekezo letu ili kubuni njia mbadala za kuucheza
*Kabla ya Kuanza mchezo rudia Kutaja vifaa muhimu vya umeme nyumbani
Kwa awamu hii mwalimu atakapotaja hitaji ,wachezaji wote wakimbie wakielekea kwenye lango lililowazi au wao wapanue nafasi ili lango lipatikane na wakimbilie hapo
Kila hitaji linalotajwa ni lazima mchezaji mmoja kupitia lango akikimbia
Wachezaji wacheze tena na tena wakitajia vyombo vyote kwa wakati mfupi
Wachezaji wapunguze miguso kuwa mitatu wakati ambapo wana mpira au watumie mguu wasiouzoea kwa miguso hiyo
Maswali ya kusudia baada ya mchezo - uliza maswali na utegee majibu
Ni aina gani ya nishati/kawi mnayotumia nyumbani?
Kawi hiyo hugharamiwa na nani?Gharama yake ni sawa?
Je Kupunguza kiwango cha matumizi ya kawi kunaweza kuokoa dunia?