Coaches Across Continents
| Name: | Coaches Across Continents |
|---|---|
| City: | Watertown |
| Country: | United States of America |
| Membership: | Adult Member |
| Sport: | Football/Soccer |
© Copyright 2022 Sport Session Planner Ltd.
Developed with Partnership Developers, a division of Kyosei Systems.
Animation Controls (PCs, Macs, Laptops):
Play animation
Play step-by-step
Repeat (toggle)
Full Screen
Pause
Stop
Back/Forward: Drag timeline button
#7 Badilisha mfumo wa kawi unaoutumia nyumbani (30 mins)
Mchezo wa Kukusudia
Unda viwanja vitatu vya mchezo wa soka au handiboli vya kawaida
Uwanja mmoja unawakilisha nyumba inayotumia kawi ya kisasa mfano jua au upepo
Viwanja vile viwili vinawakilisha nyumba zinazotumia kawi inayotokana na mafuta, makaa au gesi. Kila mojawapo ina viduta 8 vya pia kando kando .
Viwanja hivi vinavyozalisha kaboni kila baada ya dakika 3 kocha anaondoa viduta vya pia 4 mchezo unapoendelea.
Katika viwanja vya nyumba inayotumia kawi bora hamna hata kiduta cha pia kinachoondolewa.
Wakati uwanja unaozalisha kaboni unatolewa viduta vyote vya pia, wachezaji wote wanatoka na kuvuka kuingia uwanja unaotumia kawi bora, halafu wanatazama.
Endelea na mchezo wa awamu ya kwanza mpaka itimu dakika moja au mbili hivi.
Maswali ya kukusudia wakati mchezo unapoendelea- Uliza maswali na utegee majibu
Je? Ni aina gani ya mfumo wa kawi mnaoutumia nyumbani?
Je? Ni aina ya mfumo upi wa kisasa ambao ungetaka kuutumia nyumbani?
Unadhani viduta vya pia pale uwanjani vinawakilisha nini?
Na, Je? Unadhani mafuta,gesi na makaa yatadumu?
Ni kitu kipi hasa ambacho unaweza fanya ili tudumishe kawi tunayoitumia nyumbani?
Mchezo wa kukusudia-Tumia ubunifu wako au unaweza kuutumia huu tulioupendekeza ili uunde njia mpya ya kuucheza.
Tumia mapendekezo yao ya swali la mwisho (ongeza viwambo vya jua kwenye paa za nyumba) halafu ubadilishe uwanja mmoja wa kawi la kaboni ili kwa kila dakika 3 kocha anaondoa viduta 2 badala ya 4.
Cheza tena vile viwanja 3 tofauti, kila awamu washindi kutoka viwanja vya kaboni wabadilishane na kuingia viwanja vya kawi bora ya jua, wale wanaoshindwa kutoka viwanja bora waingie viwanja vya kaboni.
Maswali ya kukusudia baada ya mchezo-Uliza maswali na utegee majibu
Je? Inawezekana kubadilisha mfumo wa kawi tunaotumia? Mbona? Mbona isiwe?
Ni kipi cha muhimu kinacholengwa tunapobadilisha mfumo wa kawi?